Kuwa makini mambo mengi yanatokeaKwenye Game jinsi inavyokuwa
Hebu tujifanye sisi ndio tunaishi kijiji hicho! Nichague mimi basi, ntakuletea yule samaki mkubwa mkubwa! [emoji1][emoji1]
Fulu magego yaani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda mnavyoniita msukuma wakati sio
Leta samaki kwanza[emoji23][emoji23]
Fulu magego yaani...
Thank you[emoji120][emoji120][emoji120]
Tatizo wewe masharti mengi, chagua kwanza; Samaki mkubwa atafuatia! [emoji15][emoji1][emoji1]
Siwezi kwazika bana natoka kwa akina shishi trumpOfishali Numbisa out,leo umesema/umeukana usukuma aliyebaki ni mzee wa kupenda meat na rangi ya thao[emoji23][emoji23][emoji23]
Nb:naimani hujawahi kwazika na utani huu[emoji120][emoji120]
Numbisa si ajabu Mhaya. Usukuma keshaukana !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana, kwetu kule panapoitwa majina ya ulaya ulaya kwa lugha ya maselaKweli leo umenishangaza sana. Mitandao hii ni pori zito kuliko Zito wa Kigoma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]