Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MSOMI WA GPA YA 32 KUTOKA MUSOMA.

cc. Mwl Pyaar (*********)
cc. Mwl Magoti
cc. Mwl Kuboja
cc Mwl Paschal Msomi
cc. Mwlm Kasoga
cc. Mwlm Mabagara
MAKAO MAKUU BUNDA -MARA

Baraza la wajita TANZANIA (BAWATA ), tunakanusha uvumi uliosambaa mitandaoni kuwa yule ndugu aliyetoa kauli kwa Mh. Rais kuwa ametokea Musoma na kwamba yeye ni msomi wa shahada (degree) ya vifaa tiba na injinia na ana GPA ya 32 aliyoipata kutoka SUA (DODOMA) ni MJITA.

Baraza linatoa ufafanuzi kuwa siyo wote wanaotoka Musoma ni wajita, hivyo baraza linapenda kuujulisha umma kuwa yule ndugu ni MSUKUMA, baraza linasisitiza ni MSUKUMA.
Ni kweli alitokea MUSOMA alikokuwa akitafuta maisha ambayo hata hivo hajafanikiwa kuyapata kutokana na ukweli kwamba elimu kubwa aliyonayo na mafunzo (course) aliyopata haijapatiwa wizara yake mpaka sasa.
Pia baraza linaomba ieleweke kuwa WAJITA huwa hawapendi kujionesha sana mbele za watu kama ni wasomi / kuwa na maendeleo.

Vile vile ufaulu wa MJITA yeyote mwenye shahada huwa ni wa kawaida sana kuanzia GPA angalau ya 3.5 hadi 4.8 tu.
Pia baraza limesikitishwa na kitendo cha watu kadhaa wenye husda kwa wajita kueneza uvumi huu, na kwamba WAJITA tumejipambanua kwa kujieleza vizuri mbele ya hadhira hata kama hajafika chuo au hajasoma kabisa lakini hii haiwezi kuathiri uwezo wa MJITA kujieleza.

IMETOLEWA NA KATIBU MWENEZI WA WAJITA TANZANIA.
Annania Max Mlugwa Bwire
Nakala kwa Masau Bwire (M. kiti wa Baraza)



*CC.SYB..*

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma hawana tabia ya kujionyesha acheni kuwaonea wasukuma.

Naomba wasukuma watoe tamko ASAP
SHIMBA YA BUYENZE
Numbisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda mnavyoniita msukuma wakati sio
 
Mwanamke mmoja muingereza ameokolewa baada ya kukaa saa kumi kwenye maji katika bahari iliyopo fukwe za Croatia baada ya kuanguka kutoka upande wa nyuma wa meli.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 46 alikuwa peke yake na sehemu aliyoangukia ilikuwa ni maili 60 kutoka kwenye fukwe wakati alipookolea kupelekwa hospitali.
Maelezo zaidi kuhusu kupona kwake kwa kushangaza bado yanaendelea kufuatiliwa.
Lakini ukikutana na hali kama hiyo ni nini ambacho unaweza kukifanya ili kikusaidie uweze kujiokoa?
 
Kulikuwa sababu kadhaa ambazo zilimsaidia kuokolewa Kay Longstaff.
Mtaalamu wa uokozi katika maji ,Simon Jinks alisema mwanamke huyo alizama mita tatu au nne katika maji mara baada ya kuanguka na hiyo ilimsaidia kutovutwa na meli.
Kwenye maji kuna mawimbi ambayo yanaweza kukusukuma lakini vilevile inategemea na mwendo wa meli lakini vilevile inategemea na bahati ya mtu.
 
Vilevile inawezekana upepo au mawimbi yalivyokuwa yanavuma katika upande wa meli hiyo .
Sababu nyingine ambayo zinaweza kumfanya mtu apone ni joto la maji ,kwa kukadiria inawezeana alizama kwenye maji ambayo yalikuwa na nyuzi joto28 au 29,au yalikuwa na joto zaidi ya kwenye bwawa la kuogelea,allisema hivyo mtaalamu wa mazingira ya ukoaji katika maji .
 
Mtu anaweza kupona kwa saa moja katika maji yenye nyuzi joto 5,masaa mawili kwa nyuzi joto kumi na saa sita kwa nyuzi joto 15 lakini kama joto ni kali zaidi ya nyuzi joto 20 basi inawezekana mtu kuweza kupona kwa saa zipatazo 25.
Binadamu wanaweza kuwa kwenye maji baridi kama joto lake ni dogo ,hii ikiwa inamaanisha kwamba inaweza kumpa uwezo wa kupumua na kuelea kwenye maji bila kuzama.
 
Jioni njema!! Wandugu
images.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama joto la mwili litapanda basi mtu anaweza kuchoka kwa haraka,kuchanganyikiwa au kufadhaika.
Kama angezama katika bahari iliyopo karibu na Uingereza basi angekuwa kwenye maji yenye nyuzi joto 12 na 15 ambao ni ubaridi wa kutosha wa kufanya maji yamshtue mtu.
 
Kwa mujibu wa muongozo wa njia za kujiokoa ambacho kiliandikwa na wavuvi kutoka Irish ,namna nzuri ya kuweza kujiokoa ni kutokuogea badala yake inabidi uelee tu katika maji wakati magoti yako yakiwa umeyanyanyua mpaka kwenye kifua chako.
Hivyo inawezekana mwanamke huyo alitulia na akaweza kuwa anaelea na kuogelea lakini alibaki katika eneo lile lile aliloangukia,
Hakuweza kuwa amepigwa na mawimbi kwa wakati wote bila shaka ndio maana hakuweza kuzama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda mnavyoniita msukuma wakati sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hilo hilo tu linakufaa....ili mradi lipo TZ .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda mnavyoniita msukuma wakati sio
Na wewe leo unaukana Usukuma bageshi...

Haya Msukuma nitabakia mimi peke yangu na ushamba wangu hapa kwenye uzi. Nyie ficheni hayo makabila yenu ya kijanja [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Na wewe leo unaukana Usukuma bageshi...

Haya Msukuma nitabakia mimi peke yangu na ushamba wangu hapa kwenye uzi. Nyie ficheni hayo makabila yenu ya kijanja [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom