carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MSOMI WA GPA YA 32 KUTOKA MUSOMA.
cc. Mwl Pyaar (*********)
cc. Mwl Magoti
cc. Mwl Kuboja
cc Mwl Paschal Msomi
cc. Mwlm Kasoga
cc. Mwlm Mabagara
MAKAO MAKUU BUNDA -MARA
Baraza la wajita TANZANIA (BAWATA ), tunakanusha uvumi uliosambaa mitandaoni kuwa yule ndugu aliyetoa kauli kwa Mh. Raisi kuwa ametokea Musoma na kwamba yeye ni msomi wa shahada (degree) ya vifaa tiba na injinia na ana GPA ya 32 aliyoipata kutoka SUA (DODOMA) ni MJITA.
Baraza linatoa ufafanuzi kuwa siyo wote wanaotoka Musoma ni wajita, hivyo baraza linapenda kuujulisha umma kuwa yule ndugu ni MSUKUMA, baraza linasisitiza ni MSUKUMA.
Ni kweli alitokea MUSOMA alikokuwa akitafuta maisha ambayo hata hivo hajafanikiwa kuyapata kutokana na ukweli kwamba elimu kubwa aliyonayo na mafunzo (course) aliyopata haijapatiwa wizara yake mpaka sasa.
Pia baraza linaomba ieleweke kuwa WAJITA huwa hawapendi kujionesha sana mbele za watu kama ni wasomi / kuwa na maendeleo.
Vile vile ufaulu wa MJITA yeyote mwenye shahada huwa ni wa kawaida sana kuanzia GPA angalau ya 3.5 hadi 4.8 tu.
Pia baraza limesikitishwa na kitendo cha watu kadhaa wenye husda kwa wajita kueneza uvumi huu, na kwamba WAJITA tumejipambanua kwa kujieleza vizuri mbele ya hadhira hata kama hajafika chuo au hajasoma kabisa lakini hii haiwezi kuathiri wezo wa MJITA kujieleza.
IMETOLEWA NA KATIBU MWENEZI WA WAJITA TANZANIA.
Annania Max Mlugwa Bwire
Nakala kwa Masau Bwire (M. kiti wa Baraza)
*CC.SYB..*
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma hawana tabia ya kujionyesha acheni kuwaonea wasukuma.
Naomba wasukuma watoe tamko ASAP
SHIMBA YA BUYENZE
Numbisa