Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

If a rose smells better than cabbage, It doesn't mean the rose can make a better stew. Don't try to compare yourself too much to others my friend. You also have your own strength, search it and build on it. You may make better stew than they think. Smile always. All animals that exist, were in Noah's ark. A snail is one of those animals. If God could wait long enough for snails to enter Noah's ark; His door of grace won't close till you reach your expected position in life. Never look down on yourself, keep looking up. Broken crayons still colour. Stay blessed my friends.[emoji120][emoji120][emoji120]
 
‪Imeripotiwa kuwa Bodi ya Club ya Manchester United bado ina imani kubwa na kocha Jose Mourinho na wala haifikirii kwa sasa kumtema kocha huyo, siku za hivi karibuni kumekuwa na tetesi za Mourinho kutemwa na mikoba yake kuichukua Zinedine Zidane
 
Aiseeh!!

‪Mfanyabiashara wa India Nilesh Khedekar (25) amebandika zaidi ya mabango 300 ya matangazo sehemu mbalimbali katika kitongoji cha Pimple Saudagar yenye ujumbe wa kumuomba msamaha Mpenzi wake aitwae Shivde, bado haijajulikana chanzo cha Nilesh kuomba msamaha.
 
‪Club ya soka ya Gulspor ya nchini Uturuki imewauza Wachezaji wake 18 na kununua Mbuzi 10 kwa ajili ya kuanza kufanya biashara ya maziwa na nyama ya Mbuzi ili kujiingizia kipato cha ziada, inaelezwa kwamba Club hiyo inakabiliwa na ukata wa fedha.
 
Back
Top Bottom