Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahahahaha!! GPA ya 32 imefunika habari za chaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TANGAZO !
Graduate wote wenye Shahada ya Udaktari wa Engineering wakiwa na GPA 32 Watakuwa na Kikao cha Mwaka katika Ukumbi wa Chuo Kikuu SUA Kilichopo Mkoani Dodoma!
Mtaarifu mwenzako [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana shemeji mpenzi.Baby baby, jirani mpenzi, rafiki mpenzi, shemeji mpenzi karibu tena[emoji173]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miundo mbinu ya mwili mkuu...asante sana
[emoji23] [emoji23] acha kabisa GPA hii ni hatariHahahahahaha!! GPA ya 32 imefunika habari za chaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
#UNAAMBIWA Katika kijiji cha Mehinaku nchini Brazil Mwanamke humchagua Mwanaume anayetaka kuwa nae kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa kuangalia ni nani kati ya Wanaume wanaomtaka atamteletea samaki mkubwa.
Yegomasika umesikia??
Daaah usiogope carb maybeNaogopa vya watu
Peleka samaki huyo jirani[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hebu tujifanye sisi ndio tunaishi kijiji hicho! Nichague mimi basi, ntakuletea yule samaki mkubwa mkubwa! [emoji1][emoji1]