Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

If you think money is the only thing that changes people then you haven't come across a person who is incharge of food and drinks at a ceremony in shaggs.sijui nini uwa inawasumbua[emoji53][emoji53]unamguza tu kidogo kumuuliza choo ziko wapi , ashakugeukia Na" SODA Ni ZA WAGENi WA NAIROBI🤣🤣🤣
 
IMG_20180820_150116_039.jpg
 
Napenda kuwaaga rasmi wapendwa kuwa nitasafiri kwenda marekani masomoni tarehe 22/8/2018 na nitakuwa huko kwa muda wa miaka mitatu ya masomo nawatakia mbaki salama tuma msg hii kwa watu kumi coz mm mwenyewe nimetumiwa hata anayesafiri simjui tuma tu maisha yasogee.
Hahahahaha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea iko tayari kusikiliza ofa itayokuja klabuni hapo ikimtaka mchezaji wa kiungo Danny Drinkwater, ambae ameanza katika michezo mitano tu ya msimu uliopita akiwa amesajiliwa kwa kiasi cha pauni 35 akitokea Leicester City (Mail on Sunday)
 
Manchester City wameambiwa watalazimika kuilipa Borussia Dortmund's kiasi cha pauni milioni 68, kama inataka kumsajili kiungo Julian Weigl, ambae pia anawindwa na miamba ya soka ya Ufaransa Paris St-Germain (France Football, via Sun on Sunday)
 
Bosi wa zamani wa vilabu vya Everton, Manchester United, Sunderland na West Ham David Moyes anaongoza mbio za kupewa nafasi ya kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Marekani (Sunday Times - subscription only
 
Back
Top Bottom