Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Afu tumesahau kukwambia picha yako bado ujatuma tuma saivi
Hayo ni mambo ya Wajita...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unaenda kusomea injiniaringi ya udaktari na wewe urudi ya gipiei ya thatetuu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23], kuna mtu aliwahi niambia ugali hautafunwi, baada ya kuniona natafuna[emoji23][emoji23]..Sasa sijui mie ndo nakosea??
[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ni mambo ya Wajita...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23], nilikuwa napenda kutumia speedo.*Kama ulitumia ile kalamu ilikuwa inaitwa speedo ama beifa na hujaoa..please send the word love to 29890...*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CIA tena field officer kabisa achangiwe hela za nini?
Fuata masharti hapo juu...
Hahahahaha!Napenda kuwaaga rasmi wapendwa kuwa nitasafiri kwenda marekani masomoni tarehe 22/8/2018 na nitakuwa huko kwa muda wa miaka mitatu ya masomo nawatakia mbaki salama tuma msg hii kwa watu kumi coz mm mwenyewe nimetumiwa hata anayesafiri simjui tuma tu maisha yasogee.
Mtt mdogo memeAfu tumesahau kukwambia picha yako bado ujatuma tuma saivi