Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Enzi za kumwaga mabunda kutafuta uteuzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Zamani siyo sasa. Ni yale yale ya Mfalme kuzikwa na wasaidizi wakeHaya mambo mengine sio kabisa[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 843234
2020. Toto Tundu naamini atatukosha sisi wapenda mieleka. Mzee wa Pwani mpenda mieleka upo? [emoji16][emoji16][emoji16]
Dunia hii bana. Ni ama unakula au unaliwa...No ekisepusheni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 843251 Kivumbi na jasho