Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa Forbes, mapato kwa wanawake kumi bora kati ya Juni 2017 na Juni 2018 yalikuwa Dola 81.4 milioni, yakishuka kwa asilimia 4 ukilinganisha na mwaka mmoja uliopita na asilimia 28 kwa miaka mitano iliyopita.

Mcheza tenisi mwingine Caroline Wozniacki anashika nafasi ya pili, Dola 13 milioni, Sloane Stephens, Dola 11.2 milioni, Garbine Muguruza Dola 11 milioni, Maria Sharapova Dola 10.5 milioni, Venus Williams Dola 10.2 milioni, PV Sindhu (binyoya) Dola 8.5 milioni, Simona Halep Dola 7.7 milioni, Danica Patrick dereva wa magari ya mashindano, Dola 7.5 milioni na kumi bora inahitimishwa na mcheza tenisi Angelique Kerber Dola 7 milioni.
 
Uamuzi uliofanywa na klabu ya Juventus kumuongezea mkataba mpya wa miaka mitano kiungo Miralem Pjanic ni kama kuifungia milango Manchester United iliyokuwa inataka kumsajili.

Kiungo huyo kutoka Bosnia & Herzegovina, alibakisha miaka miwili katika mkataba wake wa sasa aliousaini mwaka 2016 akitokea AS Roma pia ya Italia kwa Euro 32 milioni.
 
Miralem Pjanic amekuwa muhimili wa kiungo cha timu hiyo tangu kuondoka kwa Paul Pogba na sasa anaingia katika wachezaji ghali wa klabu hiyo.

Katika mkataba wake mpya utakaomuweka hapo hadi mwaka 2023, atakuwa akilipwa Euro 6.5 milioni kwa mwaka akiwa mchezi wa tatu kulipwa fedha nyingi klabuni hapo wengine wakiwa Cristiano Ronaldo na Paulo Dybala.
 
Manchester City na Barcelona, pia zilimuhitaji lakini Kocha wa United, Jose Mourinho ndiye aliyemuhitajia zaidi kiungo huyo katika dirisha la usajili wa kiangazi lakini hakufanikiwa kumnasa kutokana na kunyimwa fedha za usajili.

Katika misimu miwili aliyoitumikia timu hiyo, Pjanic alitibua pasi za wapinzani mara 65 yeye akitoa pasi za mwisho zilizozaa mabao 17 akitengeneza nafasi 120.
 
Hahahaha[emoji23][emoji23], napendekeza kiinglish kisitumike kabisa katika maombi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kitonga kwa mguu?? Utabakiwa na nguvu za kupunyua kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muhimu kuwepo na mkataba View attachment 844340
Mizimu tena. Unajua hata matumizi yake shemeji? Subiri mwenyewe aje nikusemee ndo tutaona kama busara zako zile zilizotuokoa kipindi kile kutoka kwenye iginoa listi kama zitakutoa na wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Shwaini zenuuu... Mara ooo samaki, sijui tikiti la idi, ghafla imekuwa Magharibi kumbe mna mambo yenu...
Kulavuana tu mnakosa hata muda wa kusoma.
Hebu rudini ndani mkaendelee na homweki... Idioti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Father hausi kaja juu. Madenti mkasome sasa....

Uzi huu yaani. Mtu mgeni akija huku atafikiri watu wanatoleana mapovu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooooiiiiiii
Kitu nginja nginja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weraaaweeeraaaa
Yaani ni ile hemule hemuleee[emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani Numbisa anisaidie kusisitiza kwenye ule mpekenyo hadi sugu inatokea na nywele zinagoma kuota...wooooi woooooi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mizimu tena. Unajua hata matumizi yake shemeji? Subiri mwenyewe aje nikusemee ndo tutaona kama busara zako zile zilizotuokoa kipindi kile kutoka kwenye iginoa listi kama zitakutoa na wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
alikuwa mtaa jirani hapo anapovuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…