Hahahahaha! Nilijua tu watatokea wa hivi[emoji23]Mnaongelea maini gani? Haya ya kawaida au yale ya "Ng'ombe hazeeki maini?"
Maji yana nafasi yake, parachichi nalo lina nafasi yake.😀😀😀
Usoni kwanini usinywe maji mengi tuu?
Atakaye toa nae atakuwa mjinga....Kwa lipi??Hakuna mwanaume atatoa 500m za kumuoa yule bhana
Hapa ni mwendo wa kwenda chooni tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀😀
Usoni kwanini usinywe maji mengi tuu?
Hana akiba ya manenoHahaa!ila diva anashida sana.
Alishawahi sema hawezi olewa na mwanaume asiyejua kiingereza.
Kuna siku pia alisema anabadilisha line ya simu mara kwa mara maana anatongozwa sana.
Hahahaha! Mie nilikuwa na lenye Atlas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa tecno [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atlas bhasi we itakua unatumia tablet now
SometimesShit happens