mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Umeanza hoja zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaongelea maini gani? Haya ya kawaida au yale ya "Ng'ombe hazeeki maini?"
Umeanza hoja zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaongelea maini gani? Haya ya kawaida au yale ya "Ng'ombe hazeeki maini?"
Hakuna kitu kama hicho...Hivi kuna watu wanatoa mahari ya pesa hizo bongo yetu hii
Ujinga tu, wanaongeaga bila kuwa na akiba ya maneno.....Dharau nyingi..Kuna wakati unapewa unachoomba
Mhhhhhh utajuaje kama chumvi imekoleaUnaruhusiwa kuonja lakini hutakiwi kumeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HAKUNA watumishi wa serikali wenye dharau kama manesi wa dispensari za vijijini ............ mtu umeshusha suruali ili akuchome sindano alafu anakuuliza "HAYA MATAKO ULIPAKA MAFUTA LINI???" Sasa inamuhusu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ushaambiwa haunatii maana umekwiva...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu angekuwa anabondwa kila uchao, huwezi kula firigisi ya mkuu wa kaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si tayari unakuwa ushapata ladha ya chakula??? Raha ya chakula ladha sio kushiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaruhusiwa kuonja lakini hutakiwi kumeza
Kweli hayo ni mawengeHakuna kitu kama hicho...
Akili za usiku tu na mawenge ya kutapatapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wanawake wa kiislamu uwa wanafungua mapema kabla mudaLakini si tayari unakuwa ushapata ladha ya chakula??? Raha ya chakula ladha sio kushiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai, lakini kumbuka kuna matatizo mengine tunayasababisha wenyewe ama imetokea tu ikawa hivyo...Matatizo ya uzazi nafikiri yanatibika ajaribu matibabu na njia mbadala
[emoji23][emoji23][emoji23], zaidi ya vituko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna vituko jikoni mnaweza tengeneza series ya vituko jikoni