Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

My mom anaonja maharage vizuri tu huwa tunamshangaa ila yeye hana habaree.

Hivyo vitu nikionja basi wakati wa kula napata tabu sana maana vinakua vimeshanikinai

Halafu ugali haina haja ya kuonja,ukitaka kujua umeiva chukua katonge kadogo ponda/tupia ukutani ukinasa mbichi,ukidondoka umeiva
Huo ukuta si unachafuka hakuna staili ingine ya kujua kama umeiva[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
HAKUNA watumishi wa serikali wenye dharau kama manesi wa dispensari za vijijini ............ mtu umeshusha suruali ili akuchome sindano alafu anakuuliza "HAYA MATAKO ULIPAKA MAFUTA LINI???" Sasa inamuhusu nini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom