Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji736][emoji736][emoji736]
20180822_113436.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio quote ya carbamazepine ilinipita duh hadi kisosi si mboga itaisha

Huwa naonja kuku sana hasa maini mboga naivisha vizuri ila main hayataonekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]numby acha tu,mie napenda sana kula.
Na nilikuwa nikipika chakula kikiiva nimeshashiba maana si kwa kula kule jikoni.

Sema siku hizi siwezi kabisa kuonja chakula,napika mwanzo mwisho bila kuonja.
 
Back
Top Bottom