Haahahahaha,Halafu kama mie sipendag maparachichi baasi kutwa nayapakaa kichwan kama steaming
Upo vizuri wwHahahahaha! Hulka
Mie huwa sionji, hata kama ni karanga nakaanga, inaiva bila kuonjwa..hahaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana hamjawa hivyo..Hahahahah!Haahahahaha,
Tungekua nyumba moja tusingeelewana [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul banaHahahahha! Maparachichi steaming nzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23]....
Andjul atakomenti kwa akili yake anayoijua mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]hafai kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul bana
Hio quote ya carbamazepine ilinipita duh hadi kisosi si mboga itaishaHivi huwa haiwezekani kupika bila kuonja?
Unakuta mtu anapika kitu hichohicho miaka nenda rudi ila hajui kikiiva kinakuwaje au kinachukua mda gn.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungekua unanunua na ya akiba ili kuepusha ugomviHaahahahaha,
Tungekua nyumba moja tusingeelewana [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23], filigisi je???Hio quote ya carbamazepine ilinipita duh hadi kisosi si mboga itaisha
Huwa naonja kuku sana hasa maini mboga naivisha vizuri ila main hayataonekana
Ningekua nnayatoa huko kichwani au nnaziharibu nywele tukose wote japo.😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungekua unanunua na ya akiba ili kuepusha ugomvi