Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji736][emoji736][emoji736]
20180822_071842.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna haus gel mmoja aliniambia kwao dada ake alikua na bakuli kabisa la kuonjea wali,wakimuomba anawafukuza jikon ati anaonja tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],...
Kuna dada mmoja alikuwa kazoea kuonja onja chakula, ikawa tabia mpaka misibani/harusini anaandaa kibakuli kwaajili ya kuonja...Utaonjaje bakuli zima??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walikua wanayapamba makompasi mpaka nataman,na mie napamba,dakika mbili limeshavurugika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee! Umenikumbusha mbali...Nilikuwa mmoja wa wapamba mikebe... Nimejaza pens, pensils, naweka na kinoti cha 500/buku[emoji23][emoji23][emoji23]...ukiushika mkebe kama umeshika jiwe[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],...
Kuna dada mmoja alikuwa kazoea kuonja onja chakula, ikawa tabia mpaka misibani/harusini anaandaa kibakuli kwaajili ya kuonja...Utaonjaje bakuli zima??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kheee huyo mgonjwa sasa hadi misiban duh. Mie maharage,chapati,maandazi,vitumbua,karanga hivi vitu siwezag kuonja nikiwa napika labda siku hio niwe na njaa sana ndo ntaonja
 
Back
Top Bottom