Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nilikua nataman ila sasa dakika mbili penseli biki zinazagaa kwenye begi,nabak mupenzi mtazamaji wa waremba kompansAisee! Umenikumbusha mbali...Nilikuwa mmoja wa wapamba mikebe... Nimejaza pens, pensils, naweka na kinoti cha 500/buku[emoji23][emoji23][emoji23]...ukiushika mkebe kama umeshika jiwe[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app