mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji818] [emoji818]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna vituko jikoni mnaweza tengeneza series ya vituko jikoniKuna haus gel mmoja aliniambia kwao dada ake alikua na bakuli kabisa la kuonjea wali,wakimuomba anawafukuza jikon ati anaonja tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vileHio nailiaga taiming,maana ni maarufu sana hivyo kuna mida nayo naila jikon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hatari sanaUkikaa naye huyu siku ya wali maini mtatuuwa njaa 😀😀😀😀😀😀😀
Umenichekesha sana.
Eid Mubarak
Tumetoka mbali sanaAisee! Umenikumbusha mbali...Nilikuwa mmoja wa wapamba mikebe... Nimejaza pens, pensils, naweka na kinoti cha 500/buku[emoji23][emoji23][emoji23]...ukiushika mkebe kama umeshika jiwe[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mnaonja kwa sababu ya njaa sio kujua kama vimeivaKheee huyo mgonjwa sasa hadi misiban duh. Mie maharage,chapati,maandazi,vitumbua,karanga hivi vitu siwezag kuonja nikiwa napika labda siku hio niwe na njaa sana ndo ntaonja
Matatizo ya uzazi nafikiri yanatibika ajaribu matibabu na njia mbadalaMungu amponye.....[emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna kipindi aliweka wazi kuwa atakayemuoa ajipange kwa mahali milioni kadhaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap mkuu