Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Sikukuu wapi
Swali zuri hivi wakati kufunga ramadhani wanawake wakipika uwa hawaonji kweliHivi huwa haiwezekani kupika bila kuonja?
Unakuta mtu anapika kitu hichohicho miaka nenda rudi ila hajui kikiiva kinakuwaje au kinachukua mda gn.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kizazi cha nyoka hiki hatari sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahha! Maparachichi steaming nzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23]....
Andjul atakomenti kwa akili yake anayoijua mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umetupiga za chembe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha! Hulka
Mie huwa sionji, hata kama ni karanga nakaanga, inaiva bila kuonjwa..hahaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
TumeachaNyie bado tuu mnatafuta likes
Mchina mweusi niaje
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc SYB
HahahahaHio quote ya carbamazepine ilinipita duh hadi kisosi si mboga itaisha
Huwa naonja kuku sana hasa maini mboga naivisha vizuri ila main hayataonekana