Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikuwa toilet umeme umekatika ghafla nimeshtuka utafikiri zoezi hili naliendesha kwa kutumia umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Eti zoezi hili..
 
Utawajua tu waonjaji[emoji23]



Kuonja kunakuwaga kutamu kuliko kulia mezani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na kuonja siyo vyakula vya jikoni peke ake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]
20180822_151209.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna mtu anaonja maharage??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie nilikuwa fundi wa kuonja samaki,nyama na dagaa[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kama samaki lazima niongeze kipande kimoja cha kuonja[emoji23][emoji23]

Muwe mnaonjaga na matembele, mlenda na bwasi. Siyo minofu peke ake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
My mom anaonja maharage vizuri tu huwa tunamshangaa ila yeye hana habaree.

Hivyo vitu nikionja basi wakati wa kula napata tabu sana maana vinakua vimeshanikinai

Halafu ugali haina haja ya kuonja,ukitaka kujua umeiva chukua katonge kadogo ponda/tupia ukutani ukinasa mbichi,ukidondoka umeiva

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe ni nooma[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]braza usijaribu,narudia usijaribu kuchezea nywele za mwanamke,unaweza jikuta umenuniwa mwezi mzima

Kama ulihusika/ unahusika kwenye gharama ya hizo nywele kwanini nisichezee dadake!!!!? Nitazivuruga tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom