Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huo ukuta si unachafuka hakuna staili ingine ya kujua kama umeiva[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hauchafuki kirahisi ugali ulioiva unadondoka bila kuacha alama
 
Bageshi/Kaisiki. Naomba uanzishe angalau ligi moja tu halafu unitag. Nataka tu kujikumbusha those good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaonaje ukianzisha mtanange na bhageshi wako ili tushuhudie hiyo ligi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Barcelona wanaweza wakamnunua tena beki wa Colombia Yerry Mina kutoka Everton kwa euro 60m (£53.83m) baada ya kumuuza mchezaji huyo wa miaka 23 kwa Everton kwa euro 30.25m (£27.19m) siku ya mwisho ya kuhama wachezaji England, lakini hawawezi kutumia fursa hiyo kwenye kifungu cha mkataba wa kuhama kwake hadi mwaka 2020. (Marca
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaonaje ukianzisha mtanange na bhageshi wako ili tushuhudie hiyo ligi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manchester City wataamua iwapo watamwita tena kipa wao mwenye miaka 19 Aro Muric aliye NAC Breda kwa mkopo baada ya uchunguzi zaidi wa kimatibabu kubaini kwamba kipa wao wa akiba Claudio Bravo aliumia kwenye kano za kifundo cha mguu akifanya mazoezi Alhamisi. (Telegraph)
 
Hata hivyo klabu hiyo ya Uholanzi haitarajii mchezaji huyo anayechezea timu ya taifa ya wachezaji wa chini ya miaka 21 ya Montenegro achukuliwe tena na klabu hiyo ya Etihad. (Manchester Evening News)
 
Back
Top Bottom