Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hio nailiaga taiming,maana ni maarufu sana hivyo kuna mida nayo naila jikon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Ama unaonja kipapatio, ukifika muda wa chakula unamsikia b'mkubwa anakwambia nipakulie vipapatio[emoji23]
Jibu lake:- Mama huyu alikuwa na kipapatio kimoja/ Naona kipapatio kimoja tu kingine sikioni[emoji23][emoji23][emoji23]
( kumbuka muandaaji + mpishi ni wewe) .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa toilet umeme umekatika ghafla nimeshtuka utafikiri zoezi hili naliendesha kwa kutumia umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom