Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Deontay Wilder. American heavyweight champ. Anawabondaga tu yeye haangaliagi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya niikumbuke hii kituView attachment 844355
Ni nini hicho anabeba? Beche ama?
Ndiyo makaribisho gani haya sasa?
Mwakaleli yupo atakuja na porojo zake za upendo, undugu na kusameheana utatoka tu. Tena ukibahatisha mwandamo wa mwezi utatoka kirahisiii tu kama unalia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani safari hii nikiingia huko sitatoka hata kwa dhamana
Shwaini zenuuu... Mara ooo samaki, sijui tikiti la idi, ghafla imekuwa Magharibi kumbe mna mambo yenu...
Kulavuana tu mnakosa hata muda wa kusoma.
Hebu rudini ndani mkaendelee na homweki... Idioti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yegomasika baba mjengo kaja huku
Twende tukamalizie "homuweki" [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngosha hafai anakata mpaka shina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwakaleli yupo atakuja na porojo zake za upendo, undugu na kusameheana utatoka tu. Tena ukibahatisha mwandamo wa mwezi utatoka kirahisiii tu kama unalia [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakataa mi sijagusa nywele zake. Labda zimevurugika wakati anajiburuta kutoka kona moja ya kitanda kwenda nyingine. Tena nitaruka maili mia. Ukizubaa tu utaishia kwenda kununulishwa wigi la laki tatu na ushee eti umeharibu nywele. Kha !!!
Hahahahaha!Bahati ya mwenzio....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Zaidi ya mkasi imebidi niongezee na tuvifaa twingine twa ukinyozi. Niko vizuri kwa kweli. Mfumuliwaji wa Kijita...hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani tumezoeana utadhani tunaishi mtaa mmojaFather hausi kaja juu. Madenti mkasome sasa....
Uzi huu yaani. Mtu mgeni akija huku atafikiri watu wanatoleana mapovu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yegomasika baba mjengo kaja huku
Twende tukamalizie "homuweki" [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Msambwanda wake kama sahani ya bati[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Basi hakuna mnachojadili hapo [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Hahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini@atupandie mwakadirishaView attachment 844354
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani tumezoeana utadhani tunaishi mtaa mmoja
Uzuri wa mwanamke ni nini ?
SYB jibu ninalo wengine naomba jibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]