Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka.

Hata ukiwa unamgegeda na akawa hajielewi fahamu zikimrudia unalo[emoji23][emoji23]
Nakataa mi sijagusa nywele zake. Labda zimevurugika wakati anajiburuta kutoka kona moja ya kitanda kwenda nyingine. Tena nitaruka maili mia. Ukizubaa tu utaishia kwenda kununulishwa wigi la laki tatu na ushee eti umeharibu nywele. Kha !!!
 
Walaaa.... Siwezi, mbona nshaelewa vizuri tu.
Tatizo ni kupata uji wa kutosha, maana yake ni lazima ule karanga, nazi, mihogo mibichi, supu ya pweza, mlonge wa kutosha [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo ya stiimingi ya sura na nywele kwa kutumia parachichi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] woooozaaa...
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaah!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nywele kwa mwanamke aisee ni kitu cha thamani. Mmoja hivi alijichanganya akaniambia eti nimsaidie kufumua. Alikuwa kasuka hivi virasta vidogo vidogo vingiii. Nikafumua kama vitano hivi nikaona vidole vimeanza kuniuma. Ngosha nikaamua kupita short cut kwa kukata na mkasi nikidhani kuwa nilikuwa nakata hizo rasta za bandia. Kuja kushtuka kumbe nilikuwa nakata nywele zenyewe na nilipomaliza kufumua kichwa kizima akawa kama amedonolewa donolewa na kuku. Moto ulioniwakia sitakaa nisahau + safari ya kwenda kutafuta wigi. Horrible experience. Sasa hivi nishaapa sitakaa niguse nywele za mwanamke labda tu kama namgegeda amenogewa hajielewi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom