Nawe muonjaji???[emoji23]Ukikuta kama yamekangwa kama yameungua kidogo matamu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"Kuzaliwa mwanaume mateeso kuhangaika" [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chezea uwezavyo ila jua kesho yake anatakiwa arudi salon.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Analea kwanza mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo babe s simu yake sijui umeificha wapi hata hatumuoni humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnakula vipapatio na majibu mnayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwema kabisa kiongozi, habari ya majukumu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu kwema lakini
Mtoto yupi tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba bhana labdaNywele kwa mwanamke aisee ni kitu cha thamani. Mmoja hivi alijichanganya akaniambia eti nimsaidie kufumua. Alikuwa kasuka hivi virasta vidogo vidogo vingiii. Nikafumua kama vitano hivi nikaona vidole vimeanza kuniuma. Ngosha nikaamua kupita short cut kwa kukata na mkasi nikidhani kuwa nilikuwa nakata hizo rasta za bandia. Kuja kushtuka kumbe nilikuwa nakata nywele zenyewe na nilipomaliza kufumua kichwa kizima akawa kama amedonolewa donolewa na kuku. Moto ulioniwakia sitakaa nisahau + safari ya kwenda kutafuta wigi. Horrible experience. Sasa hivi nishaapa sitakaa niguse nywele za mwanamke labda tu kama namgegeda amenogewa hajielewi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndugu yake jamal malinzi,bukoba mojaa
Katika ubora wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ana msambwanda (wa kutosha?)
Kama hana fungeni mjadala mjadili mambo mengine ya maana [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watani wa jadiMtoto yupi tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe eti nimekomenti ndivyo sivyo? Ndo madhara ya kiherehere cha kukomenti bila kusoma privias komenti.
Mnisamehe bure tu
[emoji23][emoji23][emoji23]una utani weweNgosha ungekomaa tu,unamwambia akanyoe nywele aanze kusuka upya[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uniq kijana wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watani wa jadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaigiza mpka kuzimia kwenye misiba huku wameshikilia wallet zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata ukibinuliwa haubinuki[emoji124][emoji124][emoji124]
Nimeumbukaje?!!! [emoji1] [emoji1] [emoji1]