mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli kabisaHii ndo shida kubwa ya wasanii wetu.
Wengi wanaishi maisha ambayo si yao,drama nyingi mwisho wa siku wakipata shida wanashindwa saidika.
Wamejawa dharau na majigambo
Kweli kabisaHii ndo shida kubwa ya wasanii wetu.
Wengi wanaishi maisha ambayo si yao,drama nyingi mwisho wa siku wakipata shida wanashindwa saidika.
Wamejawa dharau na majigambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri wa mwanamke ni nini ?
SYB jibu ninalo wengine naomba jibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaigiza mpka kuzimia kwenye misiba huku wameshikilia wallet zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani kila kitu wao wanaigiza tu hakuna uhalisia maigizo mengi
Sasa angefanyeje? Kulikuwa na otenativu nyingine hapo kweli?
Kumbe eti nimekomenti ndivyo sivyo? Ndo madhara ya kiherehere cha kukomenti bila kusoma privias komenti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimepaliwa ghafla uwiiiii mzee mwakaleli wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda K yake ina mgodi wa dhahabu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha! Ama unaonja kipapatio, ukifika muda wa chakula unamsikia b'mkubwa anakwambia nipakulie vipapatio[emoji23]
Jibu lake:- Mama huyu alikuwa na kipapatio kimoja/ Naona kipapatio kimoja tu kingine sikioni[emoji23][emoji23][emoji23]
( kumbuka muandaaji + mpishi ni wewe) .
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh[emoji87] [emoji87] lugha mmeibadilisha sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Siku nyingine uwe makini ukiombwa msaada wa kumfumua mtu nyweleSasa angefanyeje? Kulikuwa na otenativu nyingine hapo kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwezi nilisha matango pori
Si anabugia yote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa firigisi unaonja vipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Walaaa.... Siwezi, mbona nshaelewa vizuri tu.
Tatizo ni kupata uji wa kutosha, maana yake ni lazima ule karanga, nazi, mihogo mibichi, supu ya pweza, mlonge wa kutosha [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo ya stiimingi ya sura na nywele kwa kutumia parachichi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] woooozaaa...