Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakataa mi sijagusa nywele zake. Labda zimevurugika wakati anajiburuta kutoka kona moja ya kitanda kwenda nyingine. Tena nitaruka maili mia. Ukizubaa tu utaishia kwenda kununulishwa wigi la laki tatu na ushee eti umeharibu nywele. Kha !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom