Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mtu wa amani mimi. Sipendagi makelele kabisaa. Na kwa jinsi alivyokuwa amewaka yule si ajabu angenijazia watu mtaani aisee. Sikuwa na ujanja kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
Yaani sipati picha ulivyokuwa umenywea na zile baby baby samahani[emoji23][emoji23][emoji23]waaah
 
Sitakaa nifumue mtu nywele tena. Nefaaaaa! Labda nikusainishe waiver/disclaimer kuwa kila kitakachotokea baada ya mfumuano ni juu yako na mimi mfumuaji sihusiki...

Halafu inasaundi kama tunaongelea mfumuano mwingine na siyo nywele...Mhhh...
Sasa mfumuliwaji atakuwa na uhakika gani kama mfumuaji hakua na madhumuni ya kukosea makusudi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo disclaimer itakuwa inampendelea mfumuaji.
 
Kakake hata kama gharama zilikuhusu,usijaribu kamwe
Utanyimwa konokono na wifi shauri yako[emoji23][emoji23]

Raha ya konokono sharti aliwe na kachumbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] hizo nywele ni sehemu ya kachumbali dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kakake hii kitu usijaribu la sivyo utakuja toa ushuhuda humu na kusema laiti ningejua[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Raha ya konokono sharti aliwe na kachumbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] hizo nywele ni sehemu ya kachumbali dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogopa sana nywele za mwanamke (hasa hizi za kichwani). Likibumburuka unaweza hata kuachishwa kuangalia mechi kali ya Livapuu ili uende kutafuta wigi.
"Hasa hizi za kichwani"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitakaa nifumue mtu nywele tena. Nefaaaaa! Labda nikusainishe waiver/disclaimer kuwa kila kitakachotokea baada ya mfumuano ni juu yako na mimi mfumuaji sihusiki...

Halafu inasaundi kama tunaongelea mfumuano mwingine na siyo nywele...Mhhh...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom