moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona umehifadhi kwa matumizi ya baadaye.
]
Kwa ajili yako...[emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona umehifadhi kwa matumizi ya baadaye.
]
Kwa ajili yako...[emoji3] [emoji3]
Mpambe nipo standby kula samaki tu
Eid ni ya kuchinja sasa samaki unachinjajeLeo Eid bana, nani ale samaki/dagaa sasa? Embu fanza mambo huko, nakuja! [emoji1][emoji1]
Watatuua ikitokea. Utamuona wapi JIRANI mzee wa pipi ukifutwa?
Utampata wapi jirani wa kumpa ili kisioze?
Wakiufuta maana yake na "mfumuano" itakuwa ndio basi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi tutapata elimu ya nene fupi, ndefu nyembamba, sijui vidole vya miguuni sijui vina wakilisha nini!! Eti au achunguzwe Mange vidole vyake[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani Numbisa ni shida sana
Watuacheeee...
WhoKama najisikia kuingia iginoa listi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 844296