Mama cons ataongeza prons[emoji23]Mume: mama Cons
Mke : abeee
Mume: Cons amerudishwa kwa ajili ya ada
Mke : itakuwaje sasa?
Mume: kafanye maarifa ofisini kwako
Mke : sawa,nitakujulisha nimefikia wapi...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji382] [emoji381] Shwaaini zao
@SamaritanAseeee!
Bora nisitie neno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaWatu wanaona israel akimaliza hao wengine anahamia kwao[emoji23][emoji23]kifo kitu kingine wewe
Huyu dogo huwa hamalizi shule sijui anashida gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kaona biashara ya kuku itamtoa kuliko kung'ang'ana na vitu asivyovielewa..[emoji23][emoji23][emoji23]..
*Ukiona Elimu ghali jaribu ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]*.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Samaritan
Jamani
Nakusalimia dada Numbisa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaa
Shemela upo?Huyu dogo huwa hamalizi shule sijui anashida gani[emoji23][emoji23]
Jirani habari ya leoMungu atupe afya na uzima
Haya za masiku tele?Hizi nyazifa mnapewa nyinyi siku zote
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nilijua...@Samaritan
Jamani
Wewe ni dada..Kwa vile nimeona neno dada ngoja niitikie kidada dada.
Marahabaaaaaa Transcend,za masiku?
Umeshindwa nini jamani?Nimeshindwa mie
Nipo shemela,habari ya wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bradha nishasema siamkii mtu wa humu mimi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwache kwanza[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nilijua...
poa. nipe habari za humu jamvini maana kitambo?Haya za masiku tele?
Umeshindwa nini jamani?
poa. nipe habari za humu jamvini maana kitambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sijawah date na ID ya JF bana.Wewe ni dada..
Nashindwa kukuita shemela manake sijui kama unadate naye bado?
Sent using Jamii Forums mobile app