Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532502922141.jpg
 
Yaani umekimbia shule ukafuge kuku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ungesubiri umalize hata darasa la saba B basi
[emoji23][emoji23][emoji23], kaona biashara ya kuku itamtoa kuliko kung'ang'ana na vitu asivyovielewa..[emoji23][emoji23][emoji23]..

*Ukiona Elimu ghali jaribu ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]*.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni pale unatukuta tulio soma somo la siasa tumekaa pamoja...
Ukiangalia kutoka kulia kwenda kushoto unaniona mimi, wala hautacheka sana maana umenizoea, mara paaap !! uniq, anafuatia Yegomasika, pembeni kuna ho chi minh, haujamaliza
kuamkia JIRANI huyoo wameongozana na moudgulf.... Uwiiii kwa mbaaali MKOROMIJE anatukimbilia amechelewa alikuwa na shughuli ya "kuwafumua" Wajita (sijui ndio anaiitaga sirii damu?!) wawili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Muwe mna tuheshimu, tumewaacha mbali sana.
[emoji124] [emoji124] Shwaainii zenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom