Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani humu ndani tunavyotania babu zetu jamani,yaani kila mtu akija humu unahisi ni wa rika lako.

Ila wahenga wote mjue sitaamkia mtu shikamoo mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani utaamkia bila kusukumwa... Wengine tumezeeka sura zimetushuka kabisa
 
Asante[emoji120]

Pole sana, bado nipo huku.
Kuna kitu natamani nikifanye tarehe 9/9 kule kijijini lakini mdogo wako ananisumbua nirudi, hasa mama yako. Wakikomaa nitaondoka Jumatano
Zimebaki siku chache kufikia tarehe,sema familia nayo imekukumbuka wakikaza utarudi tu hata kishingo upande.
Ila naimani ni wazima kabisa
 
Huo ndo ule wakati wa kuamkia huku unacheka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni pale unatukuta tulio soma somo la siasa tumekaa pamoja...
Ukiangalia kutoka kulia kwenda kushoto unaniona mimi, wala hautacheka sana maana umenizoea, mara paaap !! uniq, anafuatia Yegomasika, pembeni kuna ho chi minh, haujamaliza
kuamkia JIRANI huyoo wameongozana na moudgulf.... Uwiiii kwa mbaaali MKOROMIJE anatukimbilia amechelewa alikuwa na shughuli ya "kuwafumua" Wajita (sijui ndio anaiitaga sirii samu?!) wawili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Muwe mna tuheshimu, tumewaacha mbali sana.
[emoji124] [emoji124] Shwaainii zenu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni pale unatukuta tulio soma somo la siasa tumekaa pamoja...
Ukiangalia kutoka kulia kwenda kushoto unaniona mimi, wala hautacheka sana maana umenizoea, mara paaap !! uniq, anafuatia Yegomasika, pembeni kuna ho chi minh, haujamaliza
kuamkia JIRANI huyoo wameongozana na moudgulf.... Uwiiii kwa mbaaali MKOROMIJE anatukimbilia amechelewa alikuwa na shughuli ya "kuwafumua" Wajita (sijui ndio anaiitaga sirii damu?!) wawili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Muwe mna tuheshimu, tumewaacha mbali sana.
[emoji124] [emoji124] Shwaainii zenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo siku waweza kufa kwa kicheko walah!

Wakati mwingine ndiyo raha ya kutokujuana humu,mnataniana bila kuvuka mipaka maisha na stress zake zinapungua,tunakwazana na kuombana msamaha siku zinaenda.

Mungu awabariki nyote[emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IMG-20180823-WA0003.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda kuanza maisha mapya.
Yapo mengi lakini nitagusia matano ambayo kwa utafiti wangu ndiyo yamekuwa yakiwafanya wengi wakimbiwe na wachumba wao na kuachwa wakilia.
 
Mazoea na wanaume

Wapo ambao wamejikuta wakiachwa solemba kufuatia tabia zao za kuwa na mazoea ya kijinga na wanaume.
Yawezekana kabla ya kuchumbiwa marafiki zako wakubwa walikuwa wanaume (Wapo wanawake wa aina hiyo). Unachotakiwa kufahamu ni kwamba hakuna mwanaume anayefurahia ukaribu wa mchumba wake kwa wanaume wengine.
Hata kama hakuna uhusiano wa kimapenzi lakini epuka sana kujichekelesha kwao, kuongozana nao, kukaa nao au hata kuwasiliana nao. Ukifanya hivyo utakuwa unamkwaza mchumba wako na inaweza kuwa moja ya sababu za kukuchenga.
 
Marafiki micharuko

Ukishachumbiwa, kuna marafiki zako ambao ‘automatikale’ unatakiwa kuachana nao. Nazungumzia wale micharuko ambao hawawezi kukushauri vizuri juu ya maisha yako.
Hata wale ambao wamekuwa wakikushawishi kila wikiendi muende mkajirushe, baada ya kuchumbiwa unatakiwa kujiweka mbali nao ili kumpa amani mchumba wako.
 
Tabia za kisichana

Ukishachumbiwa wewe si msichana tena, utakuwa ni mama mtarajiwa wa familia yako. Tabia za kisichana kama vile kuvaa mavazi yasiyo ya heshima, kukaa vijiweni kuongea mambo ya umbeya na nyinginezo kama hizo hutakiwi kuendelea kuwa nazo.
 
Back
Top Bottom