Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1533098633219.jpg
 
Tafakari.

Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.

Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia

"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganishwa na Ukubwa wa Mungu"

Endelea kuwa karibu na Mungu, utazidi KUHISI uwepo na ukuu wake katika mahitaji yako ya hapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu tosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umekimbia shule ukafuge kuku?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ungesubiri umalize hata darasa la saba B basi
Yani wewe, Andjul huwa mnapata shida sana na mimi. Hasa inapokuja swala la mimi kuwa shemeji wa SYB. Mimi shule bado na komaa na biashara yangu ya Kuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani humu ndani tunavyotania babu zetu jamani,yaani kila mtu akija humu unahisi ni wa rika lako.

Ila wahenga wote mjue sitaamkia mtu shikamoo mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani siku moja uonane nae halafu usiwe unajua unae muangushia "shikamoo" ya uoga ni "uniq mtukutu"... Ntacheka saaaana
 
Back
Top Bottom