Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa ujasiri huo. Nimeshakusamehe yoooote. Jiandae kwa safari. Tena leo usipike nampanga mumu atuletee chakula, utapendelea kula nini jioni ya leo?

Lakini upunguze kunirusha roho, niko na moyo mdogo sana. Hasa nnapokua nimezama.


carbamazepine

Asante kwa kunisamehe Sam wangu jamani.
Mwambie alete biriyan kuku na matunda.

Yaani mimi sikurushi roho tena,akii vile
 
IMG_20180823_181030_424.jpg
 
Back
Top Bottom