Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umemsahau mzee wa parachichi la kuzungusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee fenesi akitokea anauliza na haka kamefata nini hapa,tena ndo kalikokua kanasema hakaogopi kolabo,yelewiiiiiiiiiii i lavu uji ila jela siend hata kwa juisi ya parachichi na konokono tokaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nahesabu kuanzisha kifo cha nyerere mpaka cha madilu nisikuone hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha kwa nguvu ujue?

Mzee wa fenesi ataanza ankooooo ha wayuuu,sasa ile silii nini vile ndo leo eeh[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…