Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5A1AAAE3-114A-4FDA-9D9B-28E31627755E.jpeg
 
Unakuta mtu kavaa saa mkononi unamuuliza muda anatoa simu mfukoni na kukutajia saa ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia navaa saa tena nzuri sana lakini huu ni mwaka karibia wa tatu haifanyi kazi. Watu wakiniuliza muda ni lazima nitoe simu mfukoni. Kwa hiyo ukiona hivyo jua kuwa saa haifanyi kazi.

Pia wakati mwingine ni rahisi kuangalia digital watch ya kwenye simu kuliko mamishale ya kwenye saa. Tumekuwa wavivu sana !!!
 
Back
Top Bottom