Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Njema Consuela habari za uzima wako
Mimi pia navaa saa tena nzuri sana lakini huu ni mwaka karibia wa tatu haifanyi kazi. Watu wakiniuliza muda ni lazima nitoe simu mfukoni. Kwa hiyo ukiona hivyo jua kuwa saa haifanyi kazi.Unakuta mtu kavaa saa mkononi unamuuliza muda anatoa simu mfukoni na kukutajia saa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaaa,shost nikijikwaa lazima uje kunisaidia kutoa vumbi nywele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni unyamaView attachment 845868
Najaribu kupunguza punguza. Nilikuwa nimezidi...Kwema bro jana nilikita kambi hapa kila nikipepesa macho sikuoni
Pole poti. Nasikia jana kuna jamaa anaitwa sijui Msamaria Mwema alipita hapa akakaribia kupindua serikali yako. Ulikuwa wapi? Ni kweli ulikimbia?My babe, carbamazepine; hawa yu? [emoji1]