carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahha jaman eti kaisiki duh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahha jaman eti kaisiki duh
Nimeona. Nimefurahi sana. It's about time. My rolo modo izi bak 🕺🏿🕺🏿🕺🏿🕺🏿Yuko hapo anapambana[emoji23][emoji23]
Kaisiki izi oni fayaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona. Nimefurahi sana. It's about time. My rolo modo izi bak 🕺🏿🕺🏿🕺🏿🕺🏿
Ester hatishwi. Hawamjui ama?Yuko hapo anapambana[emoji23][emoji23]
Kuna wanaomjua ila huyo anayepambana naye saizi sina uhakikaEster hatishwi. Hawamjui ama?
Aaaah bro hivi unanijali kweli yaan ngumi nikale mie wewe ufurahi jamaaaaniiiNimeona. Nimefurahi sana. It's about time. My rolo modo izi bak 🕺🏿🕺🏿🕺🏿🕺🏿
Kwako wala hizo siyo ngumi. Hata mpambano mbona haujaanza. Nilikuwa nimekumisi sana. Welokamu baki [emoji16][emoji16][emoji16]Aaaah bro hivi unanijali kweli yaan ngumi nikale mie wewe ufurahi jamaaaaniii
Halafu ni dume yule au jike? Sema ni ishu za timu vinginevyo ningetia mguu huko nami nikachezee za uso. Muda mrefu sana sijapata povu wala ngeuKuna wanaomjua ila huyo anayepambana naye saizi sina uhakika
Bint kakimbilia English ngoja niende nae anavyotakaKwako wala hizo siyo ngumi. Hata mpambano mbona haujaanza. Nilikuwa nimekumisi sana. Welokamu baki [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijui tu una nini jamani. Furaha yangu yote kwishnei. Haya asante [emoji122][emoji122][emoji122]Toka kwa wachumba zangu wa kanda ya ziwa mkawe na jumamosi njema[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 846909
Nenda siasani kama unataka povu shemHalafu ni dume yule au jike? Sema ni ishu za timu vinginevyo ningetia mguu huko nami nikachezee za uso. Muda mrefu sana sijapata povu wala ngeu
Oooopppsss sorry[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sijui tu una nini jamani. Furaha yangu yote kwishnei. Haya asante [emoji122][emoji122][emoji122]
Kumbe ni binti? Nilifikiri unapambana na jibaba. Niliangalia jinsi ya kuingiamo nikaona parefu kwa sababu ni ishu za timu. Nitakuwa kuangalia unavyomgaragaza. Nakuaminia rolo modo wanguBint kakimbilia English ngoja niende nae anavyotaka
Hahahahahahahha bro banaKumbe ni binti? Nilifikiri unapambana na jibaba. Niliangalia jinsi ya kuingiamo nikaona parefu kwa sababu ni ishu za timu. Nitakuwa kuangalia unavyomgaragaza. Nakuaminia rolo modo wangu