[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]@Andjul shemeji yangu. Hebu njoo umuone huyu jamaa anasema eti hajaona demu wa Kisukuma mzuri. Tena mpe na shwaiiiniii za kumtosha maisha yake yote hapa duniani [emoji16][emoji16][emoji16]
natengua kauliMkuu rekebisha hapo sio chupuchupu ndio mipango ya kocha ushindi ni ushindi kumbuka hao walimpiga manure urinated game iliyopita
Njema aisee. Kunakucha. Tayari kwenda kutubu madhambi. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari ya Jumapili mkuu?
Seneta John McCain, shujaa wa vita vya Vietnam aliyehudumu kwa muda mrefu kama seneta nchini Marekani na aliwahi kuwania urais, amefariki dunia akiwa na miaka 81.
Bw McCain, ambaye jina lake kamili ni John Sidney McCain III, alifariki dunia Jumamosi akiwa amezungukwa na jamaa zake, kwa mujibu wa taarifa fupi iliyotolewa na afisi yake.
Alikuwa amegunduliwa kuwa na saratani hatari ya ubongo iliyokuwa inasababisha uvimbe kwenye ubongo wake 2017.
Amekuwa akipokea matibabu tangu wakati huo.
Familia yake hata hivyo ilitangaza kwamba seneta huyo ambaye aliondoka Washington Desemba na kuacha majukumu ya useneta kwenda kupokea matibabu aliamua kuacha kupokea matibabu Ijumaa.
Kusudio la Mungu likapate kutimia juu yako[emoji120] [emoji120]Njema aisee. Kunakucha. Tayari kwenda kutubu madhambi. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kusudio la Mungu likapate kutimia juu yako[emoji120] [emoji120]
Sikushindwa kulipa mahari alikuwa mzuri sana angenisumbua baadaye na sikuwa na noti kipindi hicho fresh from schoolUlishindwa kufikisha ng'ombe 50 ama? Na kwa hasira ukakimbilia mauno ya Mmakonde?
HahahahaMaisha ni mapambano [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
View attachment 847342
AiseeKuna rafiki yangu alitapika vibaya sana na aliapa kuwa hatafakamia chumvi tena. Sijui aliona nini [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
View attachment 847343
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari ya Jumapili mkuu?