Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NENO LA LEO:

ISAYA 48:17

" BWANA, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata"

Katika kuishi kwetu twapitia changamoto nyingi sana,ila BWANA anasema kuwa anatupitisha "darasani" ili kutufundisha,kutuonya na kutuelekeza ili Tupate Faida maishani.
Tukiyafuata mafundisho yake hapana Hasara.
TUKAWE DARASA LA BWANA.

[emoji1488][emoji1488]
In Almighty
With Almighty One speed walahi
 
IMG_20180826_132959.jpg
 
Back
Top Bottom