mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nzuri mkuu habari za TA
Nzuri mkuu habari za TA
Akaendelea kuyakuza. Something went wrong akafariki katika operesheni ya kuyakuza. Sad...
View attachment 847399
Tanga poa kaupepo ka hapa na pale. Vipi wewe mkuuNzuri mkuu habari za TA
Dada yako mzima kabisa pamoja na Mjomba wako wanakusalimiaShemeji sema. Dada hajambo? [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Shughuli ilianzishwa na ndugu yangu @Asigwa...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaniii...
Laiti vyama vya siasa vingekuwa vinavumiliana kama makabila haya mawili yanavyo vumilia dharau(utani) kutoka makabila mengine, hakika tungeishi kwa amani sana.
Juzi nilikutana na comment ya ndugu yangu capitalpool, niliielewa sana baada ya kuukuta uzi fulani ukijadili vilevile... View attachment 847398
Aiseee!! Wee acha tuEndeleeni Kuwa na subira maana mna watani wengi[emoji3] [emoji3]
Misukule ya kununua vijijini. Mzee wa malimau bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 847408
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Mambo poa tu, unasalimiwa
Mwambie mama wa huyo mtoto nimemiss sana, aje aslaimie
Oh jamaniii...Shughuli ilianzishwa na ndugu yangu @Asigwa... View attachment 847414
Oh jamaniii...
Mpaka Zito Kabwe Ruyangwa akaanza kutoa povu mtandaoni eti wamedhalilishwa. Wasukuma na Wanyakyusa inabidi tuvumilie tu kwa sababu hakuna namna