Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna rafiki yangu alitapika vibaya sana na aliapa kuwa hatafakamia chumvi tena. Sijui aliona nini [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
View attachment 847343
Yawezekana alikula chumvi nyingi sana ama alikuwa na kinyaa ama vyote viwili.

Yaani huyo mwanaume wa kwenye picha hatakaa arudi tena labour room maisha yake yote na yawezekana asimzalishe mkewe tena.
Kule ndani kunataka moyo wa chuma kuona hivyo vitu aiseh!
 
Kweli kabisa na wanaume wengi wangekuwa wanakwenda kuwaona wake zao wakijifungua wangewaheshimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…