Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Self-esteem booster.
Watu wengi hawajiamini sababu hawapendi jinsi walivyoumbwa.
Kulala uchi kutakufanya uuamini na uukubali mwili wako.
Itasadia pia kuupenda mwili wako.
 
Happier relationship
Kuwa na skin-to-skin contact kunafanya kureleasiwa kwa homoni ya oxytocin hivyo kuwa na uhusiano wenye furaha na more sex.

7. Keeps you active.

8. Saves money.
 
increases virility.
Joto ndio adui mkubwa wa utengenezaji wa mbegu za kiume.Na ndio sababu testes imeumbwa nje ya mwili.
Kulala uchi kunafanya testes kupata ideal temperature ya utengenezaji na uhifadhi wa sperms.
 
Vazi la bikini limekuwa ni vazi maarufu sana duniani,vazi hili limekuwa likivaliwa katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea na huvaliwa sehemu maalumu kama ufukweni,clab,michezo ya kuogelea,riadha,tenesi,chumbani nk.
 
Bikini iligunduliwa 5 July 1946 na mbunifu wa mavazi wa ufaransa Lous Reard.Vazi la bikini lilioneshwa kwa mara ya kwanza na mwogeleaji Milcheline Bernadini kwenye mashindano ya kuogelea Prscine Malitor katika jiji la Paris.
 
Vazi hili limekuwa likipingwa vikali katika nchi mbalimbali hasa za Afrika kwani limekuwa likidharirisha jinsia ya kike hasa linapotumika sehemu ambayo si mahali pake.Vazi hili limekuwa likiachia maungo ya mwanamke hadharani na kuleta msisimko wa mwili kwa wanaume wenye maadili mema.
 
Wanaume wengi wamekuwa wakivutiwa na vazi hili na kupatwa na msisimko zaidi pale anapomuona mwanamke akiwa katika vazi hili na kufikiria kuwa wanawake wanovaa vazi la ndani la bikini ni wazuri zaidi ya wanaovaa chupi/nguo za ndani za kawaida hivyo wengi hujikuwa wakiingia katika uchaguzi mbaya wa wachumba kwa sababu ya kuangalia mavazi.
 
YAFUATAYO NI MADHARA YA KUVAA BIKINI

Japokuwa wanasayansi na watafiti wa mambo ya mavazi wamethibitisha kuwa hakuna madhara makubwa yanayotokana na uvaaji wa bikini,lakini vazi hili likivaliwa mahali ambapo si mahali pake linaweza kusababisha madhara yafuatayo
 
Wanaume wengi ni wadhaifu,miili yao ni myepesi kushikwa na ashki hivyo unaweza kusababisha akashindwa akujizuia akakubaka.
 
Wanawake wengi wanaovaa bikini hujikuta na michubuko hasa katika sehemu za mifereji ya juu ya hajakubwa.
 
FAIDA ZA KUVAA BIKINI

Kwa wale waliolewa,wachumba bikini huleta ushawishi mkubwa hasa kwa wanaume wa kufanya tendo la baba na mama.
Husaidia kupunguza joto ambalo linaweza kuleta fangazi sehemu za siri.
 
Kila niangaliapo na kuzichunguza tabia za watu fulani hunipa jibu kuwa kuna tofauti kubwa za tabia za watu katika maisha ya mafanikio.Tabia hizo huonekana pale ambapo mtu anapopata pesa nyingi na pia anapokosa pesa.Wahenga walisema "Pata pesa ujue tabia yako"Hii inamaanisha kuwa watu wengi wakipata pesa hubadilika tabia,hubadilika staili ya mavazi,hubadilika kuongea kwao,hubadilika kutembea kwao.
 
Leo katika makala haya nimekuletea tabia kuu tatu ambazo mwanadamu anazo wakati akipata pesa.Tabia hizi zinaakisi mwenendo mzima wa maisha ya wanadamu wote na ndio tabia kuu zilizoidhinishwa na Chuo kikuu cha kimataifa cha Havard.

1:MTUMIAJI

Huyu ni mtu ambaye akipata pesa huwaza kutumia kwa anasa na mambo mengine ambayo hayana maaana katika maisha yake.
Mtu huyu hajui ya kesho wala hajui kuwa kuna kukosa hivyo hudumia pesa yake kwa anasa za kila aina ambazo hazina faida katika maisha yake.

Kama ulishawahi sikia stori za mtu akikuambia kuwa
"Hapo zamani nilikuwa nahudhuria katika baa ya DDC kila siku ya jumamosi na jumapili"
"Nilikuwa nalipwa Shilingi ELfu hamsini,mshahara wangu ulilingana na mshahara wa mkurugenzi"
Chunguza maisha ya mtu huyo aliyekuwa akihudhuria Baa kila siku za mapumziko kuwaangalia Jazz Band na kucheza muziki,Juhudi alizoweka kuangalia Muziki ngeweka kuatika uweklezaji angekuwa na mali nyingi pengine kuliko alizonazo sasa.
 
MTUNZAJI

Huyu ni mtu yule ambaye anaenda kutunza pesa benki kwa muda mrefu pasipo kumzalishaia kwa Lugha ya uswahilini watu hawa wanaitwa "wabahili" Mara nyingi watu hawa husikitika sana pale wanapoona pesa zao zikitumika kwa uzalishaji,hufikiri kuwa pesa ikiwekezwa inaweza kupotea na asiipate nyingine tena.

Mara kwa mara watu hawa hutunza pesa zao kwenye maroba,mabenki au huchimbia chini ya ardhi,huishi maisha ya kawaida kabisa ambayo si rahisi mtu mwingine kumjua kama ana kiasi kikubwa cha pesa.
 
FAIDA ZA KUVAA CHUPI WAKATI WA KULALA
1. Usingizi mzuri.
Joto la mwili litakuwa regulated more efficiently.Hamna distruption na joto inayosababishwa na nguo hivyo usingizi wa pono.
Hizo ni dalili za uchoyo.
Kutokuvaa chupi kuna raha sana. Mmelala, unakosa usingizi, unawasha simu ili angalau uzuge zuge na magazeti ya Numby, unakuta anaongelea mpira,unazima data, kabla ya kuizima simu unageuka ili umwangalie mwenzio kama amelala vizuri..... Woooooiii!!! Macho na konokono vinagongana...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Kifuatacho (ngamia ni kuingiza kichwa chake kisimani bila kujali kina maji au la..) anakijua aliye lala mapema.


WANANDOA KULALA NA NGUO NI ROHO MBAYA NA UCHOYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…