Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kaisiki kange - kama haya unayosema ni kweli basi una elements za u-psychopath. Mtu wa kawaida lazima uwe na hisia bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Sijui kwann huwa sijali vitu kama hivi daah i wish niwe na hisia kama zako,ujue zile ligi naziendeshaga kiushabiki zaidi kuliko kihisia yaan kwangu ni kama naangalia epl,dakika 90 zikiisha naendelea na mambo mengine kama hakuna kilichotokea.
Ukiua wadudu huwa una hisia zo zote? Wanyama je? Baes? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️