Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilinunua jembe na viroba ambavyo vilitumika katika kuandaa shamba la nyumbani,nilipanda mbegu za tikiti katika viroba ambavyo nilivipanga pembezoni kuzunguka nyumba, nilifuata maelekezo yote ya mtaalamu wa kilimo kama alivyonielekeza niponunua mbegu hizo,baada ya miezi mitatu nilivuna jumla ya matikiti 200 ambayo niliyauza kwa shilingi 3,000 kila moja na kupata jumla ya shilingi 600,000/= .

Kama mimi niliweza unasubiri nini,anza leo usisubiri kesho.
Huu mchezo wa Taifa wa kulaumu mtu hatupaswi kuendekeza na kuuendeleza kamwe,tambua ya kuwa wewe ndio mtuhumiwa namba moja katika kosa la kudidimiza afya ya uchumi wako.
 
Nikiwa katikati ya mazungumzo na baadhi ya vijana wa mtaani kwangu,Nilishtushwa na sauti ileile ambayo vijana wa sasa wanapenda kuitumia.Ally Aliniambia neno hili

"Magufuli kabana kweli ndugu yangu nitoe hata buku kumi!"
Hii ni sauti ya kijana mwenye nguvu ambaye hata kabla ya utawala huu sikuwahi kumuona akifanya kazi yoyote isipokuwa kukaa vijiweni kupiga soga na marafiki zake,huku wakisubiria kengele ya chakula nyumbani kwao
Nilimuuliza swali hili Ally.

"Unasema hali ngumu wala viongozi hawana msaada kwenu mbona Kaka yako Jummanne Jana alifungua biashara mbili mpya,Vipi kuhusu duka jipya la mangi alilofungua hivi majuzi?"Hawa ni baadhi ya watu waliofungua miradi mipya hivi karibuni,Je hawa watu wametoa wapi mitaji ? wakati tunaishi nao Tanzania,Raisi wetu mmoja,Mbunge wetu mmoja, Diwani mmoja sera moja ya nchi,ardhi moja na thamani ya shilingi ni moja?" Jibu lilikuwa
"Kaka michongo imekaa vibaya"
 
Hizo ni dalili za uchoyo.
Kutokuvaa chupi kuna raha sana. Mmelala, unakosa usingizi, unawasha simu ili angalau uzuge zuge na magazeti ya Numby, unakuta anaongelea mpira,unazima data, kabla ya kuizima simu unageuka ili umwangalie mwenzio kama amelala vizuri..... Woooooiii!!! Macho na konokono vinagongana...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Kifuatacho (ngamia ni kuingiza kichwa chake kisimani bila kujali kina maji au la..) anakijua aliye lala mapema.


WANANDOA KULALA NA NGUO NI ROHO MBAYA NA UCHOYO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], usipende kumkatisha usingizi mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANZIA : Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu .Mungu ailaze roho ya Marehemu mama Sugu Mahala pema peponi, wote tuseme #AMEN
R.I.P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umeshuhudia robo tu ila sasa jinsi wanawake tusivyopendana mambo ni tofauti mahospitalin. Kuna wadada na wamama wakipelekwa hapo kwa uchungu kidogo yaan ule wa kushtua tu sio wa kujifungua ndugu nyumban hasa mama wakwe na mume wanajua mambo tayari heheheee ole sasa warud hosp asubuh au muda wa kuona wagonjwa wamkute mjamzito hajajifungua atasimangwa masimango yoooteee atatukanwa anamaliza chakula na mengineyo,wengi huwa wanaomba madokta wawape dawa za kulazimisha uchungu wajifungue yaishe

Kumpata mwenza sahihi mwenye kuelewa hisia za mwenzie kazi kweli
Nadhani suala la mimba/ kujifungua linatakiwa lihusishwe na mme tu. Ndugu waje nyumbani akiwa amejifungua,wamuone na kuondoka siku hiyo hiyo. Siipendi ile tabia ndugu wa mme wanaenda kumuona mama mtoto kwa lengo la kumchunguza mtoto.
Utasikia "he he heee kaka!! Umemharibu mtoto toka vidole hadi nywele! Tena mtoto wa kike. Wifi huna chako" wakati mimi namfikiria mke wangu afya yake, hawa wengine shwaainii zao wanatafuta sababu ya kunitenganisha na mke wangu...
 
Nadhani suala la mimba/ kujifungua linatakiwa lihusishwe na mme tu. Ndugu waje nyumbani akiwa amejifungua,wamuone na kuondoka siku hiyo hiyo. Siipendi ile tabia ndugu wa mme wanaenda kumuona mama mtoto kwa lengo la kumchunguza mtoto.
Utasikia "he he heee kaka!! Umemharibu mtoto toka vidole hadi nywele! Tena mtoto wa kike. Wifi huna chako" wakati mimi namfikiria mke wangu afya yake, hawa wengine shwaainii zao wanatafuta sababu ya kunitenganisha na mke wangu...
Wengi wakifika wanauliza mtoto gani,wakikuta jinsia wasiyoipenda wanaanza maneno maneno. Bahati mbaya jamii zetu wababa wengi wanawategemea ndugu zao zaid kwenye masuala ya uzazi,unakuta mke analazimishwa akajifungue na kuuguzwa upande wa mume
 
Newcastle United XI: Ki Sung-Yeung, Martin Dubravka, Diamé, S.Rondón, F. Fernández, Ritchie, Clark, F. Schär, Dummett, Yedlin, J.Murphy

Subs: Joselu, K. Darlow, Y. Muto, Atsu, A.Pérez, Sterry, Sean Longstaff

Chelsea XI: D.Luiz, Azpilicueta, E. Hazard, Pedro, Morata, M.Alonso, M. Kovačić, Jorginho, A. Rüdiger, Kepa, N. Kanté

Subs: Willian, W. Caballero, O. Giroud, Barkley, Zappacosta, A. Christensen, R. Loftus-Cheek
 
Wengi wakifika wanauliza mtoto gani,wakikuta jinsia wasiyoipenda wanaanza maneno maneno. Bahati mbaya jamii zetu wababa wengi wanawategemea ndugu zao zaid kwenye masuala ya uzazi,unakuta mke analazimishwa akajifungue na kuuguzwa upande wa mume
Ujinga tu unatutawala.

Halafu ankoo... Ile ligi sio ya nchi hii, ni kweli umestaafu ligi?
 
Ukinianzishia ligi je? Mtu mwenyewe kumbe hata hisia huna. Ni kutoka nduki tu hakuna namna hata mwezi kimyaaa mpaka kupoe ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekeshaaaa
 
461e380a-6ca7-42a6-a902-0dfdd1f9c6b1.jpg
 
Back
Top Bottom