Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

F65D9108-A548-4765-B3F7-09D0EFB43342.jpeg
 
Muhubiri mmoja nchini Marekani amenusurika kufa baada ya kugongwa na nyoka wakati anahubiri akiwa amemshika mkononi, Cody Coots Mchungaji wa Full Gospel Chuch Tabernacle baada ya tukio hilo alikimbizwa hospitali, kuabudu nyoka katika kanisa hilo ni sehemu ya ibada
 
1.FANYA UTAFITI WA KUTOSHA
Ni dhahiri kuwa Mike hakuzingatia kipengele hiki muhimu cha uanzishaji wa biashara,hata kama alikifanya basi ni kwa kiwango cha chini kabisa,kipengele hiki kinakusanya mambo mengi ikiwemo kuandaa Mpango wa biashara, ni vyema zaidi ukawashirikisha wataalamu wa mahesabu ya biashara ambao watakusaidia mambo mengi ya kufanya kabla na baada ya kuanza biashara.
 
Unafukuzia mwanamke mzuri mnaanza kuzungumza. Mnachukua muda wa dakika 20 hadi 30 kuongea na yeye mara ya kwanza. Anapendeza na kuvutia, na unaona kama ni mwanamke ambaye ni yule aliyekuwa ndotoni mwako maishani mwako. Mazungumzo yenu yanaenda vizuri mpaka ukwamwomba namba yake.
 
Baadaye unajaribu kumtumia text na hazijibu. Labda mnaeza kuchat kwa madakika halafu baada ya hapa anakataa kujibu texts zako. Unabaki ukijiuliza maswali ni kitu gani ambacho umefanya ambacho umekosea. Ok labda anaweza kuwa yupo buzy unampa muda kiasi ajibu text zako...unangojea masaa, siku, wiki mpaka inafikia wakati unagundua kuwa amekupuuza. Kwa nini hajajibu text zako?
 
So kwa nini hakujibu text zako?
Katika situation nyingi ni kuwa sababu kuu ambayo amekataa kujibu texts zako ni kuwa haukumpendeza mara ya kwanza ulipokutana naye. Ok labda sababu nyingine inaweza ni kuwa ameibiwa simu yake wakati alipokuwa akitext na wewe barabarani ama kitu kingine kama hicho, lakini hapa acha tumakinike na hatua ya kwanza uliokutana naye...yaani first impression ambayo unakudana na mwanamke yeyote.
 
1. Hakikisha unampendeza mara ya kwanza unapokutana naye
Anaweza kuwa hana muda mrefu wa kukaa na wewe ili akutambue zaidi so kile kitu ambacho unahitaji kufanya ni kuwa lazima uuonyeshe upendo wako kwa kuwa mpole, mkarimu na mtulivu. Hii itamfanya yeye kumakinika na labda kutaka kukufahamu. Hakikisha kuwa wakati unapoongea na yeye tumia mbinu za kuonyesha kuwa ungependa kukutana na yeye wakati mwingine. Kama hakuonyesha dalili zozote za kukuelewa basi hata kama atakupatia namba yake ya simu fahamu ya kwamba itakuwa ni kazi bure
 
Back
Top Bottom