Niliwamiss pia numby
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Msalimie dadi wangu akikuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!Muhubiri mmoja nchini Marekani amenusurika kufa baada ya kugongwa na nyoka wakati anahubiri akiwa amemshika mkononi, Cody Coots Mchungaji wa Full Gospel Chuch Tabernacle baada ya tukio hilo alikimbizwa hospitali, kuabudu nyoka katika kanisa hilo ni sehemu ya ibada
Ni kweli kabisa.Kitakacho leta badiliko la kimungu kwenye maisha yako sio vile unavyoimba au vile unavyotoa au vile unavyo hubiri bali ni vile unavyo lichukua neno la Mungu na kuliishi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwa kupotea huko. Kwema binti mpole?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwemaa dadii [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Siyo kwa kupotea huko. Kwema binti mpole?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakimbiwa tu maana hakuna namnaYaani sijui tu ukoje. Siku nitakayokukamata utaniambia Thermodynamics Theory na Plate Tectonics vinaitwaje kwa Kizaramo [emoji36][emoji36][emoji36]