Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Most of your waking hours
is in your work place.
So, if you aren’t happy at work,
you cannot be happy in life.

A better paying job
isn’t necessarily a better job.

If happiness is your trade off
for a few more thousands, then
you are messing up your life.

Wishing you most & more.
[emoji257]good night[emoji257]

Sleep well my sunshine! [emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaona nawaona
(Sina utani na mama kabisa)[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 847865
Hivi ni kweli sisi ni washamba?
Ninacho jua mimi tukiwa kwenye usafiri wa umma ndio taabu ina kuwepo, ni kutwanga kilugha tu hata kama tumetenganishwa na siti kumi kati kati... Tuna jiachia hivyo hivyo hadi koo likauke. Mengine sijui kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndo wanaimba hivyo?
Yaani ndo mana nasema hiyo nyimbo haina uzuri wowote na nyimbo nyingi tu za sasa.
Yaani humo ndani sijui kuna fatuma kishtobe muite aisha miuno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah!
Na wanaume wa Dar wanavyoupa promo kwa kukata viuno, wanashindana na dada zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana shemeji yangu mpole, mwenye uzuri wa asili, usiye penda makuu, mwenye roho iliyo nyooka mithili ya moshi wa roketi ipitapo angani mchana. Niseme nini mie zaidi ya kukuahidi kuwa "kwanzia sasa,ulipo nitakuwepo"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongereni wenye roketi zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom