Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Sleep well my sunshine! [emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaona nawaona
(Sina utani na mama kabisa)[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 847865
Hivi ni kweli sisi ni washamba?
Ninacho jua mimi tukiwa kwenye usafiri wa umma ndio taabu ina kuwepo, ni kutwanga kilugha tu hata kama tumetenganishwa na siti kumi kati kati... Tuna jiachia hivyo hivyo hadi koo likauke. Mengine sijui kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndo wanaimba hivyo?
Yaani ndo mana nasema hiyo nyimbo haina uzuri wowote na nyimbo nyingi tu za sasa.
Yaani humo ndani sijui kuna fatuma kishtobe muite aisha miuno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah!
Na wanaume wa Dar wanavyoupa promo kwa kukata viuno, wanashindana na dada zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongereni wenye roketi zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…