Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
aaah jamaniii hata karibu hakunaaa
Nimekwambia upige kimyaa! Kwanza kuna mtu amekuja kukuchukua huko! [emoji23][emoji23]
aaah jamaniii hata karibu hakunaaa
Poa jirani....Ipo vizuri ukingoni
[emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125]najipenda mieeeNimekwambia upige kimyaa! Kwanza kuna mtu amekuja kukuchukua huko! [emoji23][emoji23]
Mkuu kwema?Safi kabisa jirani...weekend inaendeleaje?
[emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125]najipenda mieee
Newcastleleo nani kapigika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125]najipenda mieee
katiwa ngapiNewcastle
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha nimfuate nimuulize ni lini hiyoBinti mpole atakuwa anatia huruma...
Ila mwache abaki huko huko, kuna siku aliharibu hali ya hewa humu vibaya mno[emoji23] [emoji23]
Juzi kati tu. Mwenyewe anajua[emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha nimfuate nimuulize ni lini hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku wa kupelekana kona ya bwiru
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kinu na mtwangio
Kakataaa niambia,Nidokeze kidunchuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Juzi kati tu. Mwenyewe anajua[emoji1] [emoji1]
Ule uzi wa vichekesho...#6 Ana ladha ya vitu ghali. Je huyu mwanamke anapenda starehe? Je nguo zake zote ni za designer ana zina nembo tambulika? Je anaweza kujimudu na hizo gharama zote? Kama hawezi basi huyo ni gold digger. Aina hii ya wanawake huwa wanatafuta mwanaume ambaye ana pesa nyingi ili aweze kuyatimiza matamanio yake ambayo yeye mwenyewe hawezi kuyatimiza.