Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kaisiki kange bageshi ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula izi mai homu. Msimu huu ni wazi utapata shida sana. Hamia Arsernal ikiwezekana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 848925
Katakuja na porojo tu...Mara anonimazi foreva mara hivi ali mradi kupoteza lengo huku kakidai hakana hisia kumbe rohoni kanaumia balaa kufungwa fungwa namna hiiAkijibu hii unitag, tafadhali! [emoji1][emoji1]
"I won more Premierships alone than the other 19 managers together.Manchester United's Jose Mourinho walks out on media, demanding 'respect' after loss
Katakuja na porojo tu...Mara anonimazi foreva mara hivi ali mradi kupoteza lengo huku kakidai hakana hisia kumbe rohoni kanaumia balaa kufungwa fungwa namna hii
πππKaisiki kange bageshi ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula izi mai homu. Msimu huu ni wazi utapata shida sana. Hamia Arsernal ikiwezekana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 848925
myoyabendi hujalala??Maisha ni safari ndefu na hakuna ajuaye kesho yake....
Muhimu tusikate tamaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kulala.. hujambo